affiliations

MCDGC Newsletters

Reports & policies

MCDGC Affiliations

image
Board | Bodi ya Taifa ya Uratibu wa NGOs ni chombo cha juu cha usimamizi wa shughuli za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali.Chombo hiki kimeundwa kwa mujibu wa Sheriaya NGOs Na.24 ya mwaka 2002 Kifungu cha 6(1).Sheria hii imeweka utaratibu wa kuanzisha vyombo vikuu viwili vya kitaifa, yaani Bodi ya Taifa ya Uratibu wa NGOs (National NGOs Coordination Board) na Baraza la Taifa la NGOs (National Council for Non Governmental Organizations)

Bodi ya Taifa ya Uratibu wa NGOs ilianza kazi yake rasmi tarehe…
Page 1 of 1 pages