WIC Newsletters

Reports and Policies

Women's Information Centre - WIC

 

Tanzania National NGO Coordination

Departments and Units

Children Development Department

The Department for Children Development was established under the Ministry of Community Development, Gender and Children only in 2003. The Department is divided into two sections: children and Family section. The director of Children Department is also the head of the Department Coordination.

Division is the head, and Assistant Directors lead the sections.
2.0. Vision of the Department
3.0. Mission
4.0. Objective
5.0. Responsibility and Functions

ROLES AND FUNCTIONS OF THE DEPARTMENT

CHILDREN DEVELOPMENT DIVISION
The Children Development Division will perform two main tasks, namely: children development and family development – each of which will be a section under the Division. Is not repetitive

CHILDREN DEVELOPMENT SECTION
Activities:
- Plan, prepare implement, strategize, coordinate, monitor and evaluate implementation of the Children Development Policy.
- Coordinate, follow up/monitor and prepare implementation reports on the Convention of the Rights of the Child (CRC) and the African Charter on the Rights and Welfare of the Child (ACRWC).
- Coordinate implementation of activities performed during the commemoration of the Day of the African Child and monitor/evaluate implementation of all national and international resolutions and agreements concerning child welfare.
- Prepare indicators and enlist customs and traditions which inhibit growth and development of children and advocate for policies and laws aiming at their eradication.
- Monitor and evaluate problems related to children in need of special protection such as orphans, children living in streets, child laborers and children with disabilities.
- Monitor and evaluate children and adolescents’ concerns on HIV/AIDS
- Empower communities to support orphans and most vulnerable children.
- Support the Tanzania Movement for and with Children (TMC) and Junior Councils.why only this? What is that?? Better explain otherwise seems preference among other institutions caring about children and active in tanzania.

FAMILY DEVELOPMENT SECTION
Activities:
- Prepare/develop, disseminate and review the Family Development Policy.
- Initiate, prepare/develop, monitor and evaluate programmes aimed to implement the Family Development Policy
- Prepare and disseminate guidelines on how to implement the Family Development Policy.
- Mobilize and advocate for implementation of the Family Development Policy.
- Support the National Female Genital Mutilation Secretariat
- Follow–up and prepare reports on implementation of International Conventions concerning families.
- Monitor and coordinate issue related to elimination of harmful traditional practices, e.g. Female Genital Mutilation (FGM).
- Co-ordinate. monitor and evaluate activities of the Population and Family Life Education Programme (POFLEP) again, whay this programme? What is it?

Department Personel
Margareth Musai - . Director


Family Sections
Grace Mwangwa - Assistant Director

Children Section
Sebastian Kitiku - Assistant Director
Policies and Legal InstrumentORODHA YA WADAU TUNAOSHIRIKIANA NAO KATIKA IDARA YA MAENDELEO YA WATOTO.

 

NA.

 

WADAU

 

MAENEO YA USHIRIKIANO

 

1

TAASISI ZA KISERIKALI

 

 

 

-Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

 

·         Kuhamasisha watoto kupata chanjo za msingi.

·         Kutekeleza programu za Maendeleo ya awali ya mtoto

·         kuelimisha Jamii kuhusu umuhimu wa kuwapeleka wajawazito katika vituo vya afya

 

-Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 

 

·         Kuboresha Elimu ya msingi na sekondari kwa kusisitiza usawa wa jinsia na upatikanaji wa haki kwa Watoto wote.

·         Kutekeleza programu mbalimbali za uhai, ulinzi na maendeleo ya mtoto.

·         Kutekeleza programu mbalimbali za malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto.

·         Kuhamasisha Jamii kuacha mila na desturi zinazoleta na madhara katika jamii.

 

 

-Wizara ya kazi,  Ajira na Maendeleo ya Vijana.

 

 

 

 

 

·         Kukomesha ajira zenye kuleta madhara kwa watoto.

·         Kutekeleza  programu mbalimbali za ushiriki wa watoto na vijana.

-Mikoa yote ya Tanzania  Bara


 

 

-Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Community Development Training Institute (CDTI),  Women Information Windows at FDCs.

·         Kuhamasisha Jamii kuacha mila na desturi zinazoleta na madhara katika jamii.

·         Kutoa elimu kwa jamii kuhusu madhara yawapatayo watoto wanaoishi mitaaani.

·         Kuelimisha familia na jamii kuhusu madhara ya ndoa za utotoni.

 

-Tengeru

- Rungemba, Morogoro,  Mamtukuna.

-Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika

·         Uhamasishaji  wa upatikanaji wa chakula katika shule za awali na msingi.

 

-Mikoa yote ya Tanzania  Bara

-Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

·         Utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Mtoto (2008).

 

·         Kutekeleza  programu mbalimbali za ushiriki wa watoto na vijana.

 

·         Kutekeleza programu mbalimbali za uhai, ulinzi na Maendeleo ya mtoto

 

·         Kutekeleza programu mbalimbali za Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto.

 

-Mikoa yote ya Tanzania  Bara kupitia Maafisa Maendeleo ya Jamii.

-Tanzania Communication Regulation Authority. (TCRA)

 

·         Kushirikiana katika kutoa taarifa kuhusu masuala kandamizi kwa mtoto hasa katika uanzishwaji wa Child Helpline Tanzania.

-Mikoa yote ya Tanzania  Bara


 

 

-Wizara ya Katiba na Sheria

·         Uandaaji wa sheria ya mtoto pamoja na utekelezaji wake.

·         Kutafsiri sheria mbalimbali zinomhusu mtoto katika lugha nyepesi.

·         Kutekeleza Mpango Mkakati wa kudhibiti tatizo la watoto wanaoishi mitaani.

-Mikoa yote ya Tanzania Bara

 

 -Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo.

 

 

 

 

 

 

 

 

·         Kuanzisha mtandao wa ushiriki wa watoto katika maamuzi yanayogusa haki na maslahi yao.

 

·         Kuendesha michezo na burudani mashuleni na mitaani ili kuwajenga watoto kiakili na kimwili.

-Mikoa yote ya Tanzania  Bara

-Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

·         Kuzua ukatili dhidi ya Watoto kupitia Policce Gender Unit.

·         Uanzishwaji wa Child Help line Tanzania.

·         Kushirikiana na wajumbe wa Multisectoral Task Force (MSTF) ya kuzuia ukatili dhidi ya Watoto.

- Mikoa yote ya Tanzania  Bara


 

 

-Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

 

·         Kutafsiri sheria mbalimbali zinomhusu mtoto katika lugha nyepesi.

 

·         Kuhamasisha na Kusimamia utekelezaji wa haki za mtoto ili kuhakikisha ustawi wao.

 

-Mikoa yote ya Tanzania Bara

 

-Wizara ya Kazi, Mendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto

 

 

 

 

 

 

·         Kuandaa taarifa  za nchi za utekelezaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa  wa Haki za Mtoto na Itifaki zake za Nyongeza  (The UN Convention on the Rights of the Child – UN CRC).

 

·         Kuandaa taarifa  za nchi za

utekelezaji wa Mkataba wa Afrika Kuhusu Haki n aUstawi wa Mtoto  (The African Charter on the Rights and Welfare of the Child – ACRWC).

-Zanzibar

Tanzania Library Service

·         Kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayohusu malezi na makuzi ya awali ya mtoto

Matawi sita

-Baraza la Kiswahili Taifa.

 

 

·         Kushirikiana  katika kutafsiri  sera ya maendeleo ya mtoto.

 

 

-Mikoa yote ya Tanzania Bara

 

 

Tanzania Library Service

·         Kuelimisha jamii kuhusu Sera ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto

 

 

 

Matawi 16


 

2

MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

 

 

 

-United Nations Children’s Funds (UNICEF)

·         Kutoa fedha  kwa ajili ya kuendesha masuala yanayohusu maendeleo ya mtoto na ustawi wake.

 

·         Kuelimisha jamii kuhusu umuhimu  wa lishe bora kwa watoto na kina mama wajawazito.

Wilaya saba za Tanzania Bara ambazo ni:

-Temeke

-Bagamoyo

-Mtwara vijijini

-Makete

-Magu

-Hai

-Siha

 

-International Labour Organisation (ILO)

·         Kuelimisha Jamii kuhusu kuondoa tatizo la utumikishwaji wa watoto katika kazi za hatari.

 

·         Kuelimisha Jamii kuhusu kupiga vita ajira kwa watoto.

 

-Mikoa yote ya Tanzania Bara

-Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN)

 

 

·         Kushirikiana katika utekelezaji wa sera na programu kuhusu malezi na Maendeleo ya mtoto.

 

 

-Mkoa wa Dar Es Salaam

 

 

 

-National Network Operations Center (NNOC)

·         Kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya unyanyasaji.

-Mkoa wa Dar Es Salaam

 

-Tanzania Movement for and with Children (TMC)

 

·         Kutekeleza sera ya Maendeleo ya mtoto na ustawi wake.

-Mkoa wa Dar Es Salaam

 

 

-Save the Children

·         Kutekeleza program mbalimbali za ushiriki wa mtoto na vijana.

·         Kutekeleza progtamu mbalimbali za uhai, ulinzi na maendeleo ya mtoto.

 

 

 

 

·         Kushirikiana katika uanzishaji na uundaji wa Mabaraza ya Watoto ya Wilaya.

Wilaya tano za Tanzania Bara ambazo ni:

-Temeke

-Manispaa ya Arusha

-Handeni

- Ruangwa

-Same na Mkoa wa Pemba

-Plan International

·         Kutekeleza  programu mbalimbali za ushiriki wa watoto na vijana.

 

·         Kutekeleza programu mbalimbali za uhai, ulinzi na Maendeleo ya mtoto.

 

·         Kushirikiana katika mchakato wa uanzishwaji wa mtandao wa simu wa kutoa taarifa zinazohusu ukatili dhidi ya watoto (Tanzania Child Help Line – Tz CHL).

Wilaya tano za Tanzania Bara ambazo ni:

-kisarawe

-Ilala

-Ifakara

-Kibaha

-Magu

 


 

 

-World  Vision

·         Kutekeleza  programu mbalimbali za ushiriki wa watoto na vijana.

 

·         Kutekeleza programu mbalimbali za uhai, ulinzi na Maendeleo ya mtoto.

 

·         Kushirikiana katika uanzishaji na uundaji wa Mabaraza ya Watoto ya Wilaya.

-Mikoa yote ya Tanzania Bara

-African Chid Policy Forum

·         Kutekeleza programu mbalimbali za malezi, makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto.

-Mkoa wa Dar Es Salaam

-Right to Play

 • Kuendesha michezo na burudani mashuleni na mitaani ili kuwajenga watoto kiakili na kimwili.

 

-Mkoa wa Dar Es salaam

-International Organization for Migration  (IOM)

 • Kushirikiana katika kupiga vita vitendo vya unyanyasaji wa watoto.

-Mikoa ya Dar Es Salaam na Kigoma.

-PACT  Tanzania

·         Kutekeleza programu mbalimbali za uhai, ulinzi na Maendeleo ya mtoto.

 

-Mkoa wa Dar Es Salaam.

-Ms Training Center for Development Co operation (Ms TCDC)

·         Kutekeleza programu mbalimbali za malezi, makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto.

 

 

-Mikoa ya Dar Es Salaam na Arusha.


 

3

TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI

 

 

·          

-Kiota Women and Health

Development (KIWOHEDE)

 

 • Kukomesha ajira mbaya ya watoto majumbani.

 

 • Kuandaa mpango wa utekelezaji wa kukomesha biashara ya ukahaba kwa watoto.

 

-Mikoa ya Dar Es Salaam na Mbeya.

-Child  in the Sun

 • Kutoa Elimu mbalimbali kuhusu masuala yanayohusu Maendeleo na ustawi wa mtoto hasa watoto wanaoishi mitaani.

 

 -Mkoa wa Dar Es Salaam.

-Children in Cross Fire.

 

 

 

 

 • Kutoa elimu mbalimbali  kuhusu masuala yanayohusu Maendeleo na ustawi wa mtoto .

 

-Mkoa wa Dar Es Salaam.

-Social Action Trust Fund

 

 • Kutoa misaada mbalimbali kwa mashirika ili kusaidia makundi  yasiyojiweza hasa wanawake na watoto.

-Mikoa ya Dar es Salaam, Arusha Unguja na Pemba.


 

 

-Dogodogo  Centre

 • Kuhamasisha utoaji wa malazi kwa watoto waishio katika mazingira magumu .

 

·         Kushirikiana katika uanzishaji na uundaji wa Mabaraza ya Watoto ya Wilaya.

 

 • Kutoa elimu mbalimbali kuhusu masuala yanayohusu Maendeleo na ustawi wa mtoto.

 

-Mkoa wa Dar Es Salaam.

-Legal and Human Rights Center (LHRC)

 

 

·         Kushirikiana katika kutokomeza vitendo vya ukeketaji na ukatili kwa ujumla .

-Mikoa yote ya Tanzania Bara

 

-Children’s  Dignity Forum (CDF)

·         Kutekeleza  programu mbalimbali za ushiriki wa watoto na vijana.

-Mikoa ya Dar Es Salaam na Mwanza

-Global Network of Religions for Children (GNRC)

 • Kuelimisha wazazi / walezi kulea watoto katika misingi bora.

 

-Mkoa wa Dar Es Salaam

-Anti Female Genital Mutilation Network (AFNET)

 • Kushirikiana katika kuhamasisha utokomezaji wa vitendo vya ukeketaji.

-Mkoa wa Dodoma


 

 

-Hope for Children

 • Kutoa elimu mbalimbali kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

 

-Mkoa wa Dar Es Salaam

 

-National Organization for Legal Assistance (NOLA)

 

 

 

 

 

 

 

 

 

·         Uandaaji wa sheria ya mtoto pamoja na utekelezaji wake.

 

 • Kutafsiri  sheria mbalimbali zinomhusu mtoto katika lugha nyepesi.

 

·         Kushirikiana katika mchakato wa uanzishwaji wa mtandao wa simu wa kutoa taarifa zinazohusu ukatili dhidi ya watoto (Tanzania Child Help Line – Tz CHL)

 

-Mkoa wa Dar Es salaam

-Family Health International

·         Kuelimisha jamii kuhusu masuala ya familia na kuwezesha makuzi ya mtoto

-Mkoa wa Dar Es salaam.


 

4

SEKTA BINAFSI

 

 


 

-Vyombo vya habari

 

 

 

 

 

 • Kutoa elimu mbalimbali  kuhusu masuala yanayohusu Maendeleo na Ustawi wa Mtoto .

 

 • Kuweka bayana wajibu wa familia na jamii katika malezi bora ya watoto.

 

 • Kutoa nafasi kwa watoto ili waweze kusikika na kushiriki.

 

 • Wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika na uzinduzi wa programu mbalimbali za watoto.

-Mikoa yote ya Tanzania Bara

-Makampuni ya Simu

 • Kushirikiana wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika.

 

-Mikoa yote ya Tanzania Bara

5

BALOZI

 

 

 

-Sweden International Development Agency (SIDA)

·         Kutoa elimu mbalimbali katika malezi, makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto.

 

·         Kutoa watalaam na fedha ili kuleta ufanisi katika masuala ya watoto.

 

-Mkoa wa Dar Es Salaam

-Convention on the Right of the

Children (CRC)

 • Kutoa dira na dhima kuhusu kuwapatia watoto haki zao za msingi.

 

-Mkoa wa Dar Es Salaam

-Africa Union (AU)

 • Kutoa dira na dhima kuhusu kuwapatia watoto haki zao za msingi.

 

-Mkoa wa Dar Es Salaam

-Southern Africa Development Community  (SADC)

 • Kuratibu na kuhamasisha Jamii kuzuia ukatili dhidi ya watoto.

-Mkoa wa Dar Es Salaam