highlights


Reports and Policies

News and Events

Waziri Aongelea Siku ya Wanawake Duniani

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba (kulia) pichani akiongea na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu taarifa ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Tarehe 8 Machi ,2011yatakaofanyika kimkoa huko Mbagala Zakheim Mkoa wa Dar- Salaam. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa mwaka 2011 ni Fursa sawa katika elimu, mafunzo,sayansi na teknolojia; Njia ya Wanawake kupata ajira bora.( Na kwa lugha ya kingereza ni ,Equal access to educations, training, science and technology; Pathway to decent work for women.) Pichani mwengine ni Mkurugenzi Msaidizi katika Wizara hiyo Judy Kizinga. Picha na Mwanakombo Jumaa.(MAELEZO).

image
Waziri Simba (kulia) na Mkurugenzi msaidizi - Wanawake Judy Kisinga

image
Waziri Sophia Simba (miwani) akiongea na waandishi wa Habari jijini leo