WIC Newsletters

Reports and Policies

Dec
2016
Publications | The Five-year National Plan of Action to End Violence Against Women and Children (NPAVAWC
2017/18 – 2021/22), has been developed by consolidating eight different action plans
addressing violence against women and children to create a single comprehensive, National Plan
of Action to eradicate violence against women and children in the country.
Violence against women and children…

Nov
2016
| Erasto T. Ching’oro Msemaji Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto
Katika kutekeleza hati idhini (instrument) ya Serikali ya Awamu ya Tano, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga ameitikia muundo huo, kwa kukabidhi Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Bibi Maimuna…

Oct
2016
|
TAARIFA KWA UMMA

TAMKO LA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUWATAKIA KHERI WATOTO WANAOANZA MITIHANI YA KUHITIMU KIDATO CHA NNE TAREHE 01 NOVEMBA, 2016

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inapenda kuwapongeza watoto wote wanaoanza kufanya mtihani wa Taifa wa kuhitimu elimu ya Sekondari kuanzia…

Oct
2016
|
WIZARA YAKUTANISHA WADAU KUPITIA MFUMO WA UFUATILIAJI WA SHUGHULI ZA WADAU WA MAENDELEO NA USATWI WA JAMII


Na Erasto Ching’oro- msemaji Wizara ya Afya, Mendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na watoto.

Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii, chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeandaa kikao kazi cha siku…

Oct
2016
|
TAARIFA KWA UMMA


TAMKO LA WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII JINSIA, WAZEE NA WATOTO, MHESHIMIWA UMMY A. MWALIMU KUHUSU HUDUMA ZA MATIBABU KWA WATU WENYE ULEMAVU WASIO NA UWEZO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu anapenda kutoa ufafanuzi kuhusu Tamko la Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu nchini…

Oct
2016
| TAMKO LA SERIKALI KUPITIA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KULAANI KITENDO CHA UKATILI ALICHOFANYIWA MWANAFUNZI SEBASTIANI CHINGUKA MKOANI MBEYA
Wizara imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa zilizosambaa kupitia picha ya video ikionyesha tukio lilitokea tarehe 28 September, 2016 saa 6 mchana la kikundi cha watu 4 walimu ambao walikuwa katika mafunzo ya ualimu…

Oct
2016
| TAARIFA YA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO ILIYOTOLEWA NA MKURUGENZI WA WATOTO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA IDARA YA HABARI/MAELEZO, DAR ES SALAAM TAREHE 5/10/2016

Ndugu Wanahabari,
Tanzania inaungana na Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa kuadhimisha…

Page 1 of 15 pages  1 2 3 >  Last »