WIC Newsletters

Reports and Policies

Oct
2016
| TAMKO LA SERIKALI KUPITIA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KULAANI KITENDO CHA UKATILI ALICHOFANYIWA MWANAFUNZI SEBASTIANI CHINGUKA MKOANI MBEYA
Wizara imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa zilizosambaa kupitia picha ya video ikionyesha tukio lilitokea tarehe 28 September, 2016 saa 6 mchana la kikundi cha watu 4 walimu ambao walikuwa katika mafunzo ya ualimu…

Oct
2016
| TAARIFA YA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO ILIYOTOLEWA NA MKURUGENZI WA WATOTO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA IDARA YA HABARI/MAELEZO, DAR ES SALAAM TAREHE 5/10/2016

Ndugu Wanahabari,
Tanzania inaungana na Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa kuadhimisha…

Jun
2016
| MKUTANO KATI YA MKURUGENZI MSAIDIZI WA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII BIBI NEEMA NDOBOKA KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU ‘TAALUMA YA MAENDELEO YA JAMII INAYOTOLEWA KATIKA VYUO VYA WIZARA ULIOFANYIKA UKUMBI WA HABARI / MAELEZO TAREHE 2/6/2016


1.0. Utangulizi:

Ndugu Waandishi wa Habari,
Wizara ya Afya…

Page 2 of 15 pages  <  1 2 3 4 >  Last »