WIC Newsletters

Reports and Policies

Nov
2017

Sep
2017
| Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ameongeza muda wa kuhakiki Mashirika yote Yasiyo ya Kiserikali kuanzia tarehe 5 Septemba, 2017 hadi 20 Septemba, 2017. . Lengo kuu la zoezi hili ni Kuhuisha orodha ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini, Kuboresha Kanzi Data ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na kupima utekelezaji wa majukumu ya Mashirika haya.

Bonyeza HAPA

Aug
2017
| Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anatarajia kuhakiki Mashirika yote Yasiyo ya Kiserikali kuanzia tarehe 21 hadi 31 Agosti, 2017. Lengo kuu la zoezi hili ni Kuhuisha orodha ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini, Kuboresha Kanzi Data ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na kupima utekelezaji wa majukumu ya Mashirika haya.

Bonyeza HAPA

May
2017
|
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA TAREHE 15/05/2017

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, inatoa taarifa kuwa, tarehe 15 Mei, itakuwa siku ya Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Familia. Maadhimisho haya, yanatokana na…

Page 3 of 18 pages  <  1 2 3 4 5 >  Last »