WIC Newsletters

Reports and Policies

Reports

Dec
2011
Reports | Background
The United Nations Secretary-General's (UNSG) World Report on Violence against Children (VAC), commissioned in 2001 and completed in 2006, was the first and most comprehensive global study on all forms of violence against children. The aim of the study was to research, report, and make recommendations on violence against children in the multiple settings where children live and survive—including…

Nov
2011
Reports | Vitendo vya ukatili dhidi ya watoto ni suala zito la haki za binadamu, jamii na afya ya jamii nchini Tanzania kama ilivyo katika nchi nyingi duniani. Vitendo hivi vinamomonyoa msingi imara ambao watoto wanahitaji ili wawe na afya bora na maisha yenye tija, na vinasigana na haki ya msingi ya watoto ya kuishi salama utotoni. Tatizo la ukatili wa kijinsia, ....

Nov
2011
Reports | Kikosi Kazi Kinachojumuisha Sekta Mbalimbali: Mpango wa Taifa wa Kukabiliana na Ukatili Dhidi ya Watoto

Ripoti ya Dunia ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ukatili dhidi ya Watoto ambayo ilifanyika kuanzia mwaka 2001 na kukamilika mwaka 2006, ilikuwa ndiyo utafiti wa kwanza na wa kina wa dunia juu ya aina zote za ukatili dhidi ya watoto. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kuchunguza,…

Nov
2011
Reports | Utafiti wa Ukatili Dhidi ya Watoto Tanzania na Mpango wa Kitaifa wa Kudhibiti
Usuli: Baada ya kuchapishwa kwa Ripoti ya Dunia ya Ukatili Dhidi ya Watoto ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa iliyotolewa mwaka 2006, pendekezo maalumu lilitolewa la kutayarisha na kutekeleza ukusanyaji wa data na kufanya utafi ti wa ukatili dhidi ya watoto katika ngazi ya taifa.

Aug
2010
Reports | Jukumu kubwa la Sekta ya Maendeleo ya Jamii ni kuwaandaa watu kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Sera, Progamu na Mipango ya Sekta zote zinazohusika na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Ili kufanikisha hilo, yafuatayo yametekelezwa;

- Serikali imeanza kutekeleza mapendekezo ya kuboresha mazingira ya Wataalamu wa Sekta ya Maendeleo ya Jamii ikiwa ni pamoja na kuwapatia watumishi wa…

Apr
2010
Reports | Tanzania is a multicultural society, comprising a variety of ethnic groups and different religions. Traditional views of the role and place of women still dominate, yet married women often face the greatest degree of discrimination. There is some evidence that public debate on these issues is on the rise.

Family Code:
The rights of Tanzanian women within the family are poorly…

Page 1 of 4 pages  1 2 3 >  Last »