Vacancies and Tenders | (i). Maombi yaambatanishwe na nakala za Vyeti vya kuhitimu mafunzo na vya kidato cha IV na
VI, pamoja na nakala mbili za picha za mwombaji kipimo cha “Passport”,
(ii). Wawe wenye umri wa kuzaliwa usiozidi miaka 45 kwa wasio watumishi wa umma.
(iii). Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11 Desemba, 2009.
1. AFISA UTUMISHI DARAJA II TGS.D (NAFASI 2) (a).…