MCDGC Publication

Kuzuia Ukatili Dhidi Ya Watoto

Utafiti wa Ukatili Dhidi ya Watoto Tanzania na Mpango wa Kitaifa wa Kudhibiti
Usuli: Baada ya kuchapishwa kwa Ripoti ya Dunia ya Ukatili Dhidi ya Watoto ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa iliyotolewa mwaka 2006, pendekezo maalumu lilitolewa la kutayarisha na kutekeleza ukusanyaji wa data na kufanya utafi ti wa ukatili dhidi ya watoto katika ngazi ya taifa.