MCDGC Publication

Mada kuhusu Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali

Uingizaji Wa Masuala Jinsia Katika Ufuatiliaji Na Tathmini Za Shughuli Za Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali Iliyowasilishwa Kwa Bodi Ya Taifa Ya Uratibu Wa Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali Kwenye Ukumbi Wa Chuo Cha Maendeleo Ya Wananchi Singida Tarehe 01 Julai, 2009

Katika miaka ya hivi karibuMashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) yanatambulika kuwa ni wadau muhimu katikaMaendeleo ya Jamii na Taifa kwaujumla. - Kumekuwepo na jitihada za kutambua na kubainishamchango wa Mashirika haya. - Vyombo mbalimbali vimeundwa kisheria ili kufanikisha azma hiyo ikiwa ni pamoja na Bodi ya Taifa ya Uratibu waMashirika Yasiyo ya Kiserikali, Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na Idara ya Uratibu ya Uratibu waMashirika haya yenye Sehemu ya Ufuatiliaji wa Shughuli za NGOs.


Attachment: attachmentMada