MCDGC Publication

Tangazo la Maombi ya kujiunga na fani ya Maendeleo ya Jamii kwa ngazi ya Cheti na Stashahada

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto inapenda kukaribisha maombi kwa wanafunzi wote waliomaliza kidato cha nne na sita wanaopenda kujiunga na fani ya Maendeleo ya Jamii kwa ngazi ya Cheti na Stashahada.
Bofya hapo =>Tangazo kusoma zaidi