MCDGC Publication

TAARIFA KWA UMMA, UHAKIKI WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI     NEW

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ameongeza muda wa kuhakiki Mashirika yote Yasiyo ya Kiserikali kuanzia tarehe 5 Septemba, 2017 hadi 20 Septemba, 2017. . Lengo kuu la zoezi hili ni Kuhuisha orodha ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini, Kuboresha Kanzi Data ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na kupima utekelezaji wa majukumu ya Mashirika haya.

Bonyeza HAPA kusoma zaidi