MCDGC Publication

TAARIFA KWA UMMA, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUWASILISHA TAARIFA ZA MWAKA

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anayakumbusha Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kuwasilisha Taarifa za Mwaka kwa mujibu wa Kifungu Na. 29 cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 na Kanuni Na. 10 ya Kanuni za Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2004 (GN 152, 2004) kama ilivyorekebishwa na Kanuni Na. 6 ya Kanuni za Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2014 (GN 8, 2015), kabla ya tarehe 15 Aprili, 2018.
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI