MCDGC Publication

TAARIFA YA KUFUTIWA USAJILI KWA MASHIRIKA MAWILI YASIYO YA KISERIKALI

Taarifa inatolewa kwa umma kwamba Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika kikao chake cha 38 kilichofanyika tarehe 27 Januari, 2016 iliazimia kufutiwa usajili mashirika ya African Poor and Patient Organization (APAPO) na Kuleana Centre for Children’s Rights kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 (kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2005).

Bofya hapa kusoma zaidi=> African Poor and Patient Organization (APAPO)
Bofya hapa kusoma zaidi =>Kuleana Centre for Children’s Rights