MCDGC Publication

TAMKO LA WIZARA KULAANI KUBAKWA NA KULAWITIWA KWA MTOTO KATIKA MANISPAA YA MIKINDANI, MKOANI MTWARA

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesikitishwa na kukemea vikali tukio la mzazi kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kufikia mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, kitendo kilichofanywa na John Donald (35) mkazi wa Kiyangu, Manispaa ya Mikindani mkoani Mtwara.
Kusoma zaidi bonyeza => Hapa