MCDGC Publication

TAMKO LA WIZARA KULAANI MAUAJI YA WATU 7 MWANZA

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto imesikitishwa na tukio la mauaji ya watu saba wa familia moja waliokatwakatwa mapanga baada ya kuvamiwa nyumbani, katika kijiji cha Sima wilayani Sengerema, mkoani Mwanza, siku ya Jumatano usiku.Bofya hapa kupata habari zaidi