MCDGC Publication

TAMKO LA WIZARA KULAANI UBAKAJI NA USAMBAZAJI WA PICHA ZA UTUPU

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesikitishwa na tukio la ubakaji na udhalilishwaji lililofanywa na wanaume wawili dhidi ya mwanamke mmoja, ambaye alishurutishwa kuwa mtupu, kufanya ngono bila ridhaa yake, kupigwa picha na kusambazwa katika mitandao ya kijamii hapa nchini.

Bofya hapa kusoma zaidi