MCDGC Publication

TANGAZO KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali inapenda kuyajulisha Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuwa kutakuwa na uchaguzi wa viongozi na wajumbe wa Baraza kutokana na Baraza la sasa kumaliza muda wake.

Bofya Hapa Kwa Maelezo Zaidi