MCDGC Publication

VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII KUWA KITIVO CHA MAENDELEO VIJIJINI

Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini vimesisitizwa kuhakikisha vinatoa wataalamu mahiri wa Maendeleo ya Jamii wenye uwezo wa kujenga hamasa miongoni mwa wananchi kuitikia wajibu wa kushiriki shughuli mbalimbali katika eneo lao ili kujiletea maendeleo yao wenyewe. Bofya Hapa Kusoma zaidi