MCDGC Publication

VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII MHIMILI WA MAENDELEO YA JAMII NCHINI

Hivi karibuni, jamii imekuwa na shauku kubwa ya kujiletea maendeleo yao. Katika kuhakikisha upatikanaji wa maendeleo hayo, Serikali na wadau wengine wameendelea kutekeleza shughuli mbalimbali kuoboresha miundombinu na huduma za kijamii na kiuchumi hapa nchini. Jitihada hizi, ni muhimu kuwamilikisha jamii katika hatua za utekelezaji wa mabadiliko ili kujenga utayari wa watu kumiliki na kuendeleza mabadiliko hayo kwa ajili ya maendeleo yao na taifaBofya Hapa kusoma Zaidi