MCDGC Publication

Walichaguliwa Kujiunga na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii Stashahada na Cheti 2011 / 2012

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto inatangaza majina ya walioteuliwa kujiunga na masomo ya taaluma ya Maendeleo ya Jamii ngazi ya Stashahada na Cheti cha Awali kwa mwaka wa masomo 2011/2012.

Attachment: attachmentselection_list.pdf